Freshup ni huduma inayotolewa na Fletna ambapo unaweza kupiga simu ya video au kutuma ripoti ili kukusaidia na hali yoyote ya ngozi inayokusumbua. Wabobezi wetu ni wataalam wa afya katika utunzaji ngozi na wapo tayari kukupa ushauri.

Language
English
Open drop down